Tumefurahi kutembelewa na timu kutoka @UBATanzania ikiongozwa na Kenneth Ugwuanyi,Mkuu wa Mikakati na Huduma za Kifedha kutoka ngazi ya Group.
Tumejadili maeneo ya ushirikiano wa kimkakati katika kujenga suluhisho bunifu za kifedha zinazochochea biashara kukua kupitia teknolojia
Ukiniambia zamani kufanikiwa kwenye maisha kuna siri, nitakuamini. ila kufanikiwa kwenye maisha ya sasa hakuna siri kabisa waliofanikiwa tunawaona wanachofanya , wanavyofikiri na tunawafagilia kabisa. Watu wengi wanajua namna ya kufanikiwa shida ni uthubutu tu.