@nyuki_malkia Hatarii ya kunyonya Uke ni pamoja na,
➡️Husababisha Shinikizo la Damu Kushuka (Hypotension)
↪️Katika hali nadra, msisimko mkubwa wa neva wakati wa tendo unaweza kusababisha kushuka ghafla kwa shinikizo la damu, hali inayoweza kusababisha kizunguzungu au kuzimia kwa muda mfupi.
Yaani kiufupi sanaa,
Maisha ya hadithi ni tofauti kabisa na maisha halisi
yaani kufanya biashara kwa maandishi ni rahisi sana ila! uhalisia ni mgumu sanaaa..
Kujitegemea humfundisha mtu nidhamu, uwajibikaji, kufanya maamuzi na kuthamini juhudi zake.
Hatua bora ni wazazi kuwaongoza watoto kuelekea kujitegemea badala ya kuendelea kuwabebea maisha yao yote...
Utegemezi wa watoto kwa wazazi baada ya kufikia uwezo wa kujitegemea ni tatizo kubwa katika jamii.
Wazazi wanapowahudumia watoto kila kitu bila kuwapa nafasi ya kuwajibika,
wanaweza kuwazoesha utegemezi na baadaye kuwa mashoga kwasababu hawajui struggling ni nini...
Waliovunja theory za uchumi ndiyo waliotusua,
Dunia ina wajuaji wengi sana ,
wewe ishi unavyoweza kwa sababu hata walioandika hiyo miongozo inayoitwa ya kitaalamu kuhusu uchumi waliishi walivyotaka,
siyo kosa kuishi katika njia zako na siyo dhambi kujifunza kwa waliofanikiwa..
Tabia ya kurudi home nakuchungulia wamepika nini kama hukipendi unachomoka Na kwenda Kula mishikaki kwa mpemba sio uanaume,
Uanaume ni kusaidiana majukumu Na baba ako kama unapata chochote kitu Na still unaishi kwake.