Kuna kitu Vijana walizaliwa nyuma yetu hawajawahi ambiwa;ukiona most of those you schooled with wamefanikiwa na umekwama,definitely kuna shida my brother. If you have unprotected sex na those ladies who sleep with old men mostly from 70yrs kwenda mbele, nyota yako imezimwaโฆ
Leo mechi ule Kijana wa Statehouse atapewa, will be one for the books. Kuna mahali atapinduliwa na akianza kupiga nduru juu ya utamu, aambiwe, โthis is for today bby!โ