Men,don't get too frustrated when the woman in your life argues based on emotion rather than reason.Remember that your reasoning capacity is very simplistic and limited whereas their emotions are the result of millions of years of evolution and very complex subconscious processes
When you watch these guys called Mara Nomads closely,You’ll notice theres barely any young man in their expeditions. Hapa inakuanga ni wazee, Mibabaz. Yani jamaa wamejipanga. This is an activity for people who have expirienced money,that it no longer excites them,they have realized money is a resource not a destination. Hapa inataka mtu pesa imemuitikia,apana jaribu hii kitu na wewe ni mtu ya 9-5
Gari kama ile mnaona pale nyuma,hiyo ni pajero. Pajero ni gari atari sana, lakini ile ghasia nakwambia inakunywa nikama ilitengenezwa murang’a bwana. Namba ni 6km/l. Kama mnaenda mahali kama Turkana,kule kwa lonyangapuo,pesa ya mafuta tu ni 100 sausand. Jamaa mwingine niliona ameweka tyre ya offroad,ya Goodrich,tael moja pale ni 50 sausand bwana,na ni mbili ziliraruka kwa mlima.
Bwana we cannot compete with these people. Hii watu iko na pesa bwana,sisi vijana ni tujikaze pia tukifika ata 40 years tukue na uwezo ya kununua tael ya 50 sausand kama lollipop, Tusikue wababa useless bwana. Eiih!
Nobody grew up with the intention of being a cleaner, shelf packer, cashier, security guard, taxi driver, or car cleaner. They had big dreams, but life happened. Never disrespect a man because of the job he does .