Nimetafuta Kenyatta prison nikaambiwa ako Uhuru baada ya hapo nikaenda kuangalia John nikamkuta ako ndani ya nyumba anakunywa Pombe na ameekewa Magufuli kwa mlango.
Kumbe alikua jirani ya Nurdin, sister yake alinisikia nikimuita akaniambia Nurdin Haji nikahuzunika nikaamua kuenda hotel nikamkutana na Omolo alikua anani rai Rai La mwaka juu alikua anani O'we' Dinga.