Mtu akipata maumivu ya jino atapokea ushauri wa kila mtu, ila sio wa Daktari tena likiwa jino la juu hapo ndo atakuja kwa Daktari akishaona kila alichofanya hakijamsaidia!😅#AfyaYaKinywaNaMeno
Kwa kijana Umri wa Miaka 23-27 huu ni muda wenye thamani sana kwa kijana kujitafuta, ukivuka hapa kwa kiasi fulani inabidi uwe mvumilivu kwa kila kitu ila simaanishi kama unakuwa umechelewa kufanikiwa hapana bali malengo yatakuwa yanaongozana kufidia muda uliopoteza nyuma
@Sincerelyrahma7 Ile PodCast sikuipa Sikio kabisa nilikuwa naipita tu. Na wala simjui, ila sina Imani na maisha ya watu mitandaoni ninachoamini mtu mwenye mafanikio uwa aweki mambo yake mitandaoni tunaowaona mitandaoni wengi ni wale wanaonufaika na asilimia ndogo tu ata wasanii Wana Fake sana
@dullah_abuu Sio kwa Ubaya hapo uwenda Jamaa yake ameishaoa yeye ni side chick sasa izo ni mbinu za kutaka kumvuruga mshikaji. Ila upande mwingine anaongea fact🤝
@Sincerelyrahma7 Maisha kuna kupanda na kushuka inabidi apende na awake uthubutu wa kutulia kama Mama Bora asitangulize tamaa la sivyo maisha yatamshinda ataendelea kukutana na wanaume wa hivoivo na atakuwa wanaachana kila siku mwisho atakuwa na watoto Baba tofauti na ataishia kuwa single Mama😁