Sahihi Bukhari:5063
Amepokea Anas bin Malik(Allah amridhie)
Kundi la watu watatu lilifika katika nyumba za wake za Mtume ﷺ, wakiuliza kuhusu namna Mtume ﷺ alivyokuwa akimuabudu Allah. Walipoelezwa kuhusu ibada yake, waliona kwamba ibada yao ni ndogo, wakasema:
“Sisi tuko wapi ukilinganisha na Mtume ﷺ, hali ya kuwa madhambi yake yaliyotangulia na yajayo yamesamehewa?”
Mmoja wao akasema: “Mimi nitaswali usiku mzima daima.”
Wa pili akasema: “Mimi nitafunga mwaka mzima bila kufungua funga.”
Wa tatu akasema: “Mimi nitajitenga na wanawake na sitaoa kamwe.”
Mtume wa Allah ﷺ akawajia na kusema:
“Je, nyinyi ndio mliosema hivi na hivi? Wallahi, mimi ndiye ninayemcha Allah zaidi miongoni mwenu na ninayekuwa mnyenyekevu zaidi kwake. Lakini mimi hufunga na pia hufungua (sifungi kila siku), huswali na pia hulala, na mimi huoa wanawake. Basi mwenye kuacha Sunnah yangu katika dini, si katika mimi.”
Ibn Baaz kuhusu kuyatembelea makaburi siku ya ijumaa
Swali:
Ni ipi hukumu ya kuyatembelea makaburi kufanya maalum siku ya ijumaa?
Jibu:
Ni jambo lisilokuwa na msingi. Lililowekwa katika Shari´ah ni yule mwenye kuyatembelea makaburi ayatembelee wakati wowote itapokuwa sahali.
Ni mamoja ikawa usiku au mchana. Kuhusu kuyatembelea siku maalum au usiku maalum ni Bid´ah isiyokuwa na msingi wowote. Amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
“Atayezusha katika amri yetu hii yasiyokuwemo yatarudishwa.”
Ameipokea al-Bukhaariy na Muslim.
“Atakayefanya kitendo kisichoafikiana na amri yetu kitarudishwa.”
Ameipokea Muslim katika “as-Swahiyh” yake kutoka kwa ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa).
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: https://t.co/sT55BsV5Nf
Marejeo: https://t.co/ysdOh2fDpk
Imechapishwa: 15/10/2016
https://t.co/EKznsNAslP
Sahihi Muslim:2577a
Abu Dharr رضي الله عنه amepokea kwamba Mtume wa Allah ﷺ amesema:
Allah, Aliyetukuka na Mwenye Ukuu, amesema:
“Enyi waja Wangu! Mimi Nimejiharamishia dhuluma, na Nimeifanya kuwa haramu baina yenu. Basi msidhulumiane.
Enyi waja Wangu! Nyote mmepotea isipokuwa wale Niliowaongoza. Basi ombeni uongofu Kwangu, Nitawaongoza.
Enyi waja Wangu! Nyote mna njaa isipokuwa wale Niliowalisha. Basi ombeni riziki Kwangu, Nitawalisha.
Enyi waja Wangu! Nyote mpo uchi isipokuwa wale Niliowavisha. Basi ombeni mavazi Kwangu, Nitawavisha.
Enyi waja Wangu! Hakika nyinyi mnafanya madhambi usiku na mchana, na Mimi Nasamehe madhambi yote. Basi ombeni msamaha Kwangu, Nitawasamehe.
Enyi waja Wangu! Hamwezi kunidhuru Mimi kwa namna yoyote ili mnidhuru, wala hamwezi kuninufaisha Mimi kwa namna yoyote ili mnufaisha.
Enyi waja Wangu! Lau wa mwanzo wenu na wa mwisho wenu, wanadamu wenu na majini wenu, wangekuwa na uchamungu kama moyo wa mtu mchamungu zaidi miongoni mwenu, hilo lisingeongeza chochote katika ufalme Wangu.
Enyi waja Wangu! Lau wa mwanzo wenu na wa mwisho wenu, wanadamu wenu na majini wenu, wangekuwa waovu kama moyo wa mtu mwovu zaidi miongoni mwenu, hilo lisingepunguza chochote katika ufalme Wangu.
Enyi waja Wangu! Lau wa mwanzo wenu na wa mwisho wenu, wanadamu wenu na majini wenu, wangesimama mahali pamoja wakaniomba, kisha Nikampa kila mmoja alichokiomba, hilo lisingepunguza chochote nilichonacho, isipokuwa kama sindano inavyoipunguza bahari inapochovywa ndani yake.
Enyi waja Wangu! Hakika hayo ni matendo yenu tu; Nayaandika kwa ajili yenu, kisha Nitawalipa kwayo. Basi atakayekuta kheri na amhimidi Allah. Na atakayekuta kinyume cha hivyo, basi asimlaumu yeyote isipokuwa nafsi yake.”
Imepokewa pia kwamba:
Sa’id alisema: “Alikuwa Abu Idris al-Khawlani anaposimulia hadithi hii, alipiga magoti yake chini (kwa unyenyekevu na utukufu wa maneno hayo).”
Mpaka sasa ubaoni ni
Vatikan 1 - 1 Makka. 😁
Huu nd'o mzigo wa pili (Zipo kama sita) Hutba imeshiba nondo.🔥🔥🙌🏼
Naleta zote hapa. Hakikisha umetazama ya kwanza, washa kengere usipitwe na zijazo.
Sheikh katuinua sana Waislam tusiofungamana na Unafiki. Nafikiri tumwekee kakitu.
This is due to the increasing availability of data about people's behavior, as well as the development of more sophisticated machine learning algorithms.
Source: Bard
"cognitive data formulae to predict and manipulate human behavior" refers to a set of algorithms that are used to predict and influence human behavior. These algorithms are based on the principles of cognitive psychology, which studies how people think, learn, and make decisions.
their attitudes or persuading them to take a certain action.
The use of cognitive data formulae to predict and manipulate human behavior is a relatively new field, but it is growing rapidly.