Umeoga kwa sidechick alafu unafika kwa nyumba bibi anakuambia lazima uoge ndio upande kitanda yake siwezi oga mara mbili mimi afadhali nimuambie ukweli.
Hii gwanda nayo ilikuwa multipurpose ajabu,,unaitumia kama school shoes at the same time ni ya football na bado utaitumia kuskate kwa nyasi time mvua imenyesha
Hii kuna bois alikuwa nayo he used to play no 11 kwa school team jamaa alikuwa anakunja nayo outer leg curl kama prime KDB bana juu hizo enzi football boots ilikuwa fantasy😂shida ni zikiingia maji unatembea ni kama uko kwa sewage "bwo bwo bwo"
Hii gwanda nayo ilikuwa multipurpose ajabu,,unaitumia kama school shoes at the same time ni ya football na bado utaitumia kuskate kwa nyasi time mvua imenyesha