Inawezekana dogo vitu alivyo kuwa akifanya Instagram ilikuwa kama kujifurahisha tu, hakuwa na mpango wowote Wala Dira, ila kumbe MUNGU naye ni nani, mara Vuuuu,, makampuni makubwa ya mavazi pamoja na Instagram wenyewe wakamuona.
Jana Moja ya kampuni kubwa ya mavazi pamoja na Instagram wame enda kumchukua dogo kwao Ethiopia.
Dogo Kwa Sasa ndo mtu maarufu zaidi Instagram anaye fuatiliwa Kwa Sasa, mwite Kaluptics dogo aliye kuwa anajifanyia vitu kama kufurahisha nafsi yake tu.
Inawezekana hata wewe hicho unacho kifanya unaona kama ni kawaida tu ila MUNGU siku akiamua utabaki unajishangaa.
Inatakiwa bongo tupate msanii ata mmoja anaeweza kufanya show ya LIVE kama Ya @redbull alofanya asake pale mjini LAGOS siku chache zilizopita ofcoz ile ilikuwa show kali sana pia imekaa kitamaduni bongo uchwala mwingu
Kuna mazingira ukimuomba namba mwanamke ni rahisi kukupa.
Kuna mazingira ukimuomba namba mwanamke ni ngumu kukupa.
Lazima ucheze na mazingira, sio kila sehemu ni ya kumsimamisha mwanamke.
Ivi nyie wanangu mnawezagaje kutuma hela ili mtumiwe connection😂😂 that's insane ata kama ni buku siwezi kukutumia aloo sina huo moyoo mie sinaaa kiukweli😂