Usiruhusu MSIMU ukashambulia maisha yako na HISIA ya ndani na AKILI. Kwa sababu misimu ni mingi INAYOPITA katika maisha yetu lakini maisha ni MAREFU kuliko misimu.
Zaidi sana mruhusu MUNGU akuongoze katika misimu yote!.
#Moses27#The_Sage
AMANI haitokani na kupata MAJIBU ya kila kitu, bali inatokana na KUJUA kwamba upo SALAMA mikononi mwa MUNGU hata katikati ya yasiyojulikana.
Hello Family!
#Moses27#The_Sage
Umeketi Enzini, Umejivika Nuru kama Vazi,
Wapendeza kama nini, MUNGU Mtakatifu.
YESU uinuliwe, Milele na milele,
Hallelujah Hossana
Boaz Danken ft Eliya Mwantondo π
#Moses27#The_Sage#SelfHealing
Even though I walk through the darkest valley, I will fear no evil, for YOU are with me; YOUR rod and your staff, they comfort me.
Psalms 23:4
#Moses27#The_Sage#Counselor
Sometimes you don't realize the bullet you dodged until you see someone else get hit by it.
We beg GOD to open doors HE knows will lead us to destruction. Hindsight really shows how much GRACE weβve been walking in without even knowing.
Grateful for every βNOβ
#The_Sage
Usipige teke KIKOMBE kwa kuwa ni kidogo, tambua kwamba HUNA UWEZO wa kubeba chai ya moto kiganjani mwako hata kama una NGUVU kiasi gani.
#Moses27#The_Sage#Counselor
If people have to team up to DESTROY you, you've already proven they can't face you alone.
When people unite against you, sometimes itβs not because youβre weakοΏ½οΏ½itβs because youβre STANDING OUT more than they expected.
#Moses27
#The_Sage
GOD will never fail someone who truly leans on HIM.
It might take time, it might not make sense, but HE always shows up.
GOD'S timing is always the best. HE is all sufficient.
#Moses27#The_Sage#Counselor
BRO TO BRO
Ukweli mchungu kuhusu MAISHA ya MWANAUME. Haijalishi unapitia kipindi kigumu kiasi gani na unataka kukata tamaa, KUMBUKA tu kwamba hakuna anayejali.
Kuwa JASIRI pambana na changamoto zako, Unapaswa kuweka Tumaini lako kwa MUNGU tu, Hawezi kukuangusha bali atakuinua!.