@airtel_tanzania habari, line yangu imepata kamilisha loan ya 66,000 mpaka jana asubuhi ilikuwa imebakiwa na limit ya 21336. Sasa nashangaa leo imetuma message nina limit ya 2136 ili hali sijatumiwa toka jana.
I got numbers in my
phone, that'll never ring
again, Cause Allah done called
them home, so until we
sing again, I got texts on my phone,
that'll never ping again, I screenshot
em, so I got em, I don't want this
thing to endle
@airtel_tanzania habari, nimekuwa napata hili tatizo kwa siku ya pili leo sasa, nikijiunga kifurushi cha 2000 cha 1.3Gb yaan kinakaa 30 minutes kimeisha tayari!... naomba msaada wa hili tatizo imekuwa ghafla sana
@airtel_tanzania habari nimenunua umeme kupitia airtelmoney hela nimekatwa lakini sijapata token. Na number ya huduma ya wateja haipokelewi. Nahitaji msaada
Habari @airtel_tanzania nilifanya muamala tarehe 22 jan 2022 kwa wakala Mohammed ismail mwenye code number 256411 lakini aligoma kutoa pesa, akata turudishe muamala. Nikapiga simu airtel kuomba kurudisha muamala lakini wakala hapokei simu za airtel na ukimtafuta hatoi feedback
Habari @Tigo_TZ nipo nje ya nchi na line yangu siwezi kuacess uku na kuna ujumbe nauhitaji kwaajili ya kuaccess simu yangu na bahati mbaya sipo Tz naweza kupat msaada kuweza kupata izo link?