Footbridge ata sio ya pedestrians anymore. Jamaa wa nduthi anahoot msonge, biashara zimejaa hakuna mahali ya kusonga, both mtu wa biz na jamaa wa nduthi wamejam, kwani wanataka tuvukie wapi? Na tusipovuka hapo hao wa biz watauzia nani?
Meridian ya Kiserian ilifungwa,Sasa pia Nairobi women's ya Rongai imefungwa,either economy ni mbaya sana ama mbogi ya Rongai na Kiserian wameamua ni mwarubaine na dawa ya maasai
@Nyokaffiii At times he would stand kwa mlango ya class akilemewa na safari ya kufika kwa desk yangu .."Viviann dagira gima ya raji" now it's me to walk to him with his gima 😭😭😭
Hapo Kikuyu council of elders ata ukitaka Kesho uamke ukiwa múthamaki Na miaka 18 Bora uko Na deep pockets utakuwa 🤣🤣 I've never seen such a disgraceful council of tuthee ngui ka hio