🛒🛍️✨
TAB S14.
Storage - 512gb
Ram - 12gb ✨
💰Tsh 580,000
We offer 🫴🏽
Free Charger ✅
Free Pods Pro 5S ✅
All brand new phones, All brand phones Accessories is available at @ramamobilehub
📍Mwanza Mjini
https://t.co/635CcQj6kl
Dm @ramamobilehub
KUTOKA INDIA;
Janja alikua anataka iPhone 15, Mzee akamwambia hana madusko
Janja akaamua kwenda kwenye maporomoko ili kushinikiza ombi lake..
Katika Janja janja Mzee akawa anataka kumshika ili amvute ee wakaporomoka wote, na Mazaa akajitupa aise..
Wamekufa wote🙌🏽
SO SAD🙌🏽
TRUE STORY;
Zamani kidogo niliwahi pita mitaa ya SHIVAZ (Arusha ) nikakutana na Mama mmoja akaniita, Umri wake ni zaidi hata ya Mama angu.
Akasema " Ya kwangu ni tamu sana ha haina maji " Nilisikia haya mno 😀 Nikajiapiza kutokwenda wala kupitia maneno kama hayo tena 😄😎
Leo @ramamobilehub imepata bahati ya ugeni mzito wa My Brother @PKunjega1_
Stori zilikua nyingi sana lakini zaidi nimepata bahati ya kumuuzia simu ya ndoto yake🫴🏽
Nikampa Free Cover, Free Protector & Free Charger ✅
Shukran sana My Brother @PKunjega1_
Kuna jamaa yangu mmoja tulikua tunapiga story za hapa na pale akawa ananiambia last weekend alienda kwenye maneno ya starehe na alitumia takribani Tsh 900,000
Imagine hiyo ni siku moja tu unatumia 900K😄
Naendelea kutafakari inawezekanaje 😂