Mti wenye mizizi imara husimama hata dhoruba zinapokuja.
Vivyo hivyo, maisha yenye maadili, nidhamu, maarifa, na kumtegemea Mungu hudumu kuliko mafanikio ya haraka.
Mungu hajahama kwenye kiti chake cha enzi, na wala hajalala. Anaona kila hatua unayopiga kwa tabu, anaona kila jasho linalokutoka, na anarekodi kila nia njema iliyopo ndani ya moyo wako.
Imeandikwa; “Bwana ndiye aliyewatawaza Musa na Haruni.”
Bwana akuongoze na uende mbali zaidi katika mwezi huu mpya kwa Jina la Yesu. Umetiwa mafuta kwa ajili ya mafanikio na neema ya Mungu iko juu yako. Miguu yako inahuishwa kwa utukufu wa Yesu.
Heri ya Mwezi Mpya wa JUNE..!!
Muhubiri 3:1 "Kwa kila jambo kuna majira yake,na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu."
Mungu ameweka maisha katika majira tofauti.
Kuna majira ya kupanda na majira ya kuvuna, majira ya kujifunza na majira ya kutenda, majira ya changamoto na majira ya mafanikio.
Naye akaniambia, Neema yangu yakutosha; maana uweza wangu hutimilika katika udhaifu. Basi nitajisifia udhaifu wangu kwa furaha nyingi, ili uweza wa Kristo ukae juu yangu.
2 Kor 12:9 SUV
A little that a righteous man has Is better than the riches of many wicked. For the arms of the wicked shall be broken, But the LORD upholds the righteous.
- Psalm 37:16-17 (NKJV)
Kama unapitia kipindi kigumu cha maisha, milango imefungwa na kila unalojaribu halifanikiwi, usiache kumtegemea Mungu. Endelea kusali na kulitafakari Neno lake, maana yeye hubadili hali ya mwanadamu kwa wakati wake. 🙏
“Bwana atakupigania, nawe utanyamaza kimya.” — Kutoka 14:14
“
Processes are important, but they should never become barriers to God’s will. In Ezra 5, God’s people keep building despite new opposition. The question is: is caution helping, or is it delaying what God wants to do? #RBHW
But the wicked shall perish; And the enemies of the LORD, Like the splendor of the meadows, shall vanish. Into smoke they shall vanish away.
- Psalm 37:20 (NKJV)