Eeeh mwenyezi Mungu naomba utusamehe sisi ambao tunakukosea kila sku ila unatujaria afya kila iitwapo LEO pumzi yako kwetu ni bure..
tupe mkate kulingana na uhitaji wetu..
Amen
Big news from Arusha! ๐
Our Climate Education Fellowship is in full swing, equipping young changemakers with the skills and knowledge to tackle climate challenges head-on! With the support of @ClimateKIC & Irish Aid, this program is all about transforming passion into action.
Ndugu zangu naona leo ndo siku yangu ya mwisho kuwa nanyi humu, nimeamua kujiondoa kutokana na sababu zisizozuilika, nimefurahi sana katika kipindi nilichokuwa humu tukishirikiana kuhakikisha kanji anafilisika,
Niwatakie mapambano mema ya kuhakikisha kanji anarudi kwao๐
Nilikuwa liqour store Goba akaja binti akiomba msaada wa hela mama yake amepata strock ndugu wamemkimbia,niliingiwa na huruma nikamwambia kaa hapo kunywa maji kwanza,siunajua nishawaka nikampigia boda akaja mikampa 50k nikamwambia ongozana na binti nunua mchele unga maharagwe