Normal day in Narok
Me: Nimekutumia pin location nataka uniletee hiyo vitu niko nyuma ya schedule sana
Hardware guy: Sawa.
Hardware guy after 10 mins: Boss,nakuletea wapi hii mzigo?
Me: sinimekutumia pin whatsapp,fungua itakuonesha mahali unakuja
Him: sawa.
Him after 5 mins: Boss fanya aje,hebu elezea uyu dereva mahali anakuja
Me: Amos,si nimekutumia pin?
Him: Ehh,nataka umwambie mahali tunakuja
Driver : Boss,nakuja wapi?
Me: Huyo jamaa wa hardware nimemtumia pin location.
Driver: iyo ni nini? Nataka uniambie mahali nakuja
Me: unajua kwa dispensary. Hapo karibu tu. Ukifika hapo nipigie
Driver: kwa hii bara bara ya mashimo? Hapo tunakujanga na elfu sita
Me: Boss! 5 kilometers unalipishaje elfu sita? Chukua 3500 uniletee
Driver: sawa. Ni sawa,lakini apo umenifinya
Amos,Hardware guy: Hello wacha tutoke,mdosi ananiambia uniwekee deposit.
Me: * Sends 70k*
Me,Calls him: Umepata?
Him: Ehh,sawa.
Me(calls amos after 25mins): Weh mmefika wapi?
Amos: “Nakwambia uyu driver nikama amepatwa na wasimu ati amepata kasi ingine ataki hii yako. Wacha niite mwingine”
SMH!!