@KoCarters Assuming they favor argentina! But they don’t hand them goals. Maybe they change the game momentum but everything else is pure footy. So many teams have had that… now it’s easy for everyone to blame them since it’s human nature to slide with the crowd when you don’t like a team.
@Badboi_Kiula Hizi zote tantalila bro wenye pain & trauma ni nyie arsenal fans b'se throughout the years tumewacheka na last weekend bado mmetupa furaha... hakuna kitu utakachoniambia wewe ambacho mimi sijakucheka before😀 ila kwenye swala zima la UCL bado tunawacheka na hichi ndo kinawatesa
@Badboi_Kiula Mimi na wewe kiujumla sisi ndo tumeshuudia wewe ukikaa miaka 22 unazurura ila sio wewe kushuudia sisi tukikaa miaka 50 kwenye uhai wetu wewe hujaiona Chelsea ikikaa miaka 50 haijabeba la hasha tulikaa bega kwa bega ukiona nabeba na wewe ukishuudia kuanzia PL,Europa mpaka UCL....
@Badboi_Kiula Acha tantalila leta uefa mbili mezani njoo tuongee zaidi ya hapo huna haki kuongelea LIGI YA MABINGWA....kazi kufika final na kufungwa "Always the bridesmaid never the Bride" ishi humo
@Badboi_Kiula Sasa aliekua anaishi kwenye history kati ya mimi na wewe nani?😀 Wewe si ndo umeshinda juzi in 22 years jamaa usitake sisi tuwe kama nyie haitakua, nyie ndo Banter club duniani
@Badboi_Kiula Kwa kifupi huna cha kunitambia mzee...Chelsea Fc we are the pride of London... sisi ndo tunawakilisha ule mji ulaya...jikaze ubebe UCL hata moja tukuchukulie serious...Tukienda Europe kwenye Football Heritage wewe ni paka kwenye sisi Simba
@Badboi_Kiula .....UCL final 3 nimebeba mbili wewe mpaka sasa final Mbili umekosa zote acha kujisifia ujinga ety umefika final unbeaten hazikumbukwi hizo anaekumbukwa ni bingwa
@Badboi_Kiula Bobuuu uefa hakubeba kwenu usitake kutembelea mgongo wa mtu aliwakimbia....Topic ilikua uefa...Henry kuhusu ubora wake hamna anaebisha shida ni nyie na team yenu hamjawahi kubeba...