Nairobi kuna two types of men
i. Wanaume wana tafta pesa, & they'll position themselves kwa spaces za kutengeza pesa
ii. Wanaume wana tafta kazi, they'll position themselves kwa spaces za kupata kazi
Got tired na kutafta kazi, nataka shughli ya kutengeza omuom.
OMUOM IS YES!
Gachau karibu auwawe Jana. Obinna kama ni boxing event aite strictly boxers na awapee protective gears otherwise ata expose guys to very dangerous fatal injuries.
Gachau aliwekwa ngumu akameza Ile kitu ya Meno kuprotect kujiuma ulimi.
Side piece akianza kukutishia na mambo ya kukuseti kwa bibi
Unamuuliza kama anataka phone number pekee ama you can add her email, and live location.
Akitaka pia unaeza pin location ya osago kwao akaambie hadi bloodline yake yiote.