Kuna Kitabu Kimeandikwa na Multi-Millionaire Kutoka Nigeria Kinaitwa:
“21 Reasons Why You’re Not Yet A Millionaire And What To Do About Them”—Akin Alabi!
PS: Kipo Google FREE kwa sasa ni Bonge Moja la Kitabu—Highly Recommended!
Kuna Watu wanapambana sana Kutoka kwenye Umaskini, na Wao Na ukombozi Pekee Uliobaki kwenye Maisha ya Familia zao huko wanakotoka.
Nichukue Nafasi hiii Kuwaombea Dua Njema kwa Mungu Leo Iwe siku ya Mafanikio kwenu na Familia Zenu.
Umealikwa Base Markers day?
Soma thread hii ujifunze kuhusu Base na namna unavyoweza kushiriki Base Makers day na uwe na nafasi ya kushinda zawadi zenye thamani ya $ 1k+
Shuka Nayo