@chelseaswahili_ @hassanools@VictoryTheCham1@MadehaMalecela @20qnana Zanzibar ilishawai ilisha China, Russia, Canada, India na Ujerumani na ikaikopesha marekani kama doller tirioni 3 mwaka 1953 kabla haijaungana na Tanganyika hapa wazanzibar tujitoe tu 😊
@rayasel94@GeorgeJob14 Hata buzA kuna Arsenal hiyo ndo hawaingii kikosi cha Leicester City mimi ni Chelsea Damu ila Odergard pekee ni Liverpool nzima na Man United yote na fagasoni ndani yake 😆
Kiukweli mimi simba damu natamani kusema Zalan wameonewa, lakini nikikumbuka lile limayele lilichotufanya naamua tu kunyamaza tulishindwa kupata hata shot on target tukaliwa 2-0 kweli? 😭
Kazi zetu za simu ni nzuri sana, ila changamoto yake ni pale mteja anapokuja kukuludishia simu ambayo haiwaki. Haujui! Aliiangusha? Am vipi, anataka umbadilishie na ulikula buku🥹🥹
Kuna wale wanangu hapo katikati walifululiza kupost zile hela za kwenye link wananitumia na dm🤣 saizi hawapost Tena na hata baskeli hawana na hata iPhone 14 tu inawashinda kununua 😂😂😂