Kama huwezi kuwa msaada kwa mtu basi jitahidi sana usiwe kigingi kwenye safari yake ya maisha,maisha tayari ni magumu,sasa ukijiongeza na wewe kwenye ugumu unategemea nini? Ndio uchawi wenyewe.
Tupambane na maisha,kupambana na watu ni kupoteza muda tu.
Good morning fam.
Good morning Mungu ametuamsha salama tena leo na hiyo ni neema kubwa ambayo inatukumbusha kuwa bado ana mpango mzuri na maisha yetu Tuanze siku hii kwa shukrani imani na moyo wa matumaini ๐
1 Wathesalonike 2:4
bali kama vile tulivyopata kibali kwa Mungu tuwekewe amana Injili, ndivyo tunenavyo; si kama wapendezao wanadamu, bali wampendezao Mungu anayetupima mioyo yetu.
Good morning to you familia ๐ โค๏ธ