@MangiwaKwanza1 Laana kivipi? Mimi ninachokiona ni kwamba Chelsea ndio mfano wa timu ambazo hazipo kwenye fomu lakini hazikaukiwi makombe kabisa. Kuna mwaka kwa kuwa hakuwa kwenye European tournaments, alibeba UEFA.
Kuna mwaka alikuwa wa sita kwenye ligi akabeba UEFA (2012)
1. Plastiki Zinaathiri Homoni Zako:
Vyombo vya plastiki vina kemikali hatari kama BPA na phthalates ambazo huiga homoni ya kike (estrogen).
Hii huvuruga mfumo wa homoni zako za kiume, na kwa muda huathiri uzalishaji wa mbegu zenye afya.