@444holywitch bro nimeota ndoto nakimbizwa na nyoka mreefu na nlipokuwa napambana nae nimeomba msaada ila watu wamegoma kunisaidia na nlipomwacha nimekutana nae mbele yangu ananisubiri hii ina maana gani mzee... nieleze @444holywitch@444holywitch@444holywitch