@cleansheet_1@Rehanjr22 Mchambuzi wa nini na wa wap, kituo gani cha kazi unatokea au media ipi, wewe ni
Mcha Mbuzi yanga ikishinda mnatafuta sababu muhimu ni points tatu na kuchukua ubingwa hiyo ndio target
@cleansheet_1 Aina yao ya uchezaj haifanan na albert sio explosive winger na yuko very skilled kuliko libasse, hawa jamaa hawafanan uwez kwa albert simuon kama winger mkali ila namuona kama namba 10 mzr japo achez sana ilo eneo
@GilbertPaul095 Okelo ashachezaga mpaka algeria na bdo akarud uganda , akaja yanga na tumeuza tena kwenda morroco huo ndio mpira brother, jitafakari katika kuhukumu
@cleansheet_1@Msikelaj2 Ina maana kuwa na backup means waliokuwepo ni wabovu ama kwa yanga wanaongeza mapana ya kikosi kuna muda uwe una jenga hoja kwa mantik sio kukurupuka kama hivi , ushawah kuona peter akiwa mazoezin ndg mchambuzi?
@BracuszCadabra Hapana diaw ni mwamba sana , labda kama Kuna timu kubwa Zaid ya al hilal inamuitaj, ila tofaut na hapo hawez achwa ili nafas yake izibwe na Rahim never
@privaldinho Wewe jamaa ss wenyewe yanga wenzako ila unaleta umama , mambo yashaisha haya muache yeye mwenyewe acheze ajue hatma yake , iki kama Cha kike hiki ndio wanafanya klabu ionekane yakifala huko nje ya umma, kama kidada Yan acha ufala tulia jadilin jinsi Gani ya kumfunga jkt mtf
@SinaniNdola@Gery_Gerrald Yah ila hawaon ule uwanja bado kiubora, Aman si pabaya labda mapana na ukubwa wa uwanja mashabiki watajaa japo si kama taifa, muhimu kazi tu