@mwigulunchemba1 Labda kama mmewekeza kwenye Familia zenu ila usiseme mmewekeza kwa wananchi Deni la taifa sahv mwendo wa aviator tozo ndo kwanza zinazidi Daaaaah hii inch😂😂😂🙌 Aya bn mitano tena mama #OCTOBERTUNATIKI miradi ya mama barabara za mama goli la mama sgr ya mama mama anaupiga mwng
Wanaume wengi wanatumia pesa nyingi kununua vidonge vya kuongeza nguvu za kiume, bila kujua kuwa suluhisho liko jikoni mwao.
Je, umewahi kusikia kuhusu nguvu za vitunguu swaumu na karafuu? Kama hujawahi, basi una jambo kubwa unalopoteza!
Mchanganyiko huu wa asili ni silaha ya siri ya wanaume waliotulia, wale ambao wake zao hawajawahi kulalamika!
Ukitumia vizuri, utaongeza nguvu, stamina, na uwezo wako wa kushangaza chumbani. Na la kushangaza zaidi? Hii si dawa, ni chakula!
Hakikisha Hukosi hata Neno Moja Kwenye Uzi Huu... 🧵👇
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema klabu ya Yanga imewawasilisha vibali vya wachezaji 12 wa kigeni ambao wanastahili kucheza kwenye michezo ya Ngao ya Jamii, mkoani Tanga.
Yanga SC inatarajia kufungua mashindano hayo leo dhidi ya Azam SC ambapo mchezo huo utachezwa saa moja jioni.