@Mkuruzenzi@ZPlanmaster ukisha jumlsha ya kwenye mabano mabono yanakufa kabla ya kuzidisha tena mara ya pili unaanza kugawanya ndo unafata kuzidsha coz blacket ushaiua tyl kwa kujumlisha
@JosephE42218294@ayubu_madenge unakua katika ibada wakati huo wa mchana unapokua umefunga swaum ila jion ruksa baada ya ftari .... mfano ni sawa na upo katika maombi kanisani katikati ya maombi kanisani umuombe mkeo unyumba ..... hvo ni swala la kua na subra mke ni wako jion maliza haja zako