Kwa kijana ndoa ya kwanza ni muhimu sana baba mzazi kuwa na mchango mkubwa kama mahari, harusi, nyumba na kadhalika lakin pia kijana anakuwa ana mchango wake walau 20% japo hata ya mpiga picha, mziki na kuvalisha bestman wake
Ndoa ya pili na kuendelea sasa hapo starehe yake atalipia yeye tu!
@iamthatfemale Sikuwahi na siwezi kufikiria kuondoka, maana Afrika hasa Tanzania imejaa fursa za kiuchumi kila kona. Kinachohitajika ni malengo, nidhamu na kujikita pale unapotaka kufika. Ukijua unachotafuta na ukaweka bidii, fursa zipo zaidi ya unavyodhani.