@DullahTheking2 In his recently days to grave yard he said"There are people wants to kill me"but he could not mentioned who are they..that event was a sign to show their fans the end day of MJ..That is Dark Web how it's function.
BREAKING: VIDEO MPYA. NEW VIDEO EVIDENCE OF THE VIOLENCE THAT TANZANIANS ENDURED DURING THE INTERNET BLACKOUT UNDER SAMIA SULUHU ORDERS.
WATANZANIA AMBAO MLIKUWA MNAOGOPA KUACHIA VIDEO, PLEASE NITUMIENI ILI DUNIA IONE ILI TUPATE MSAADE WA NJE!!!!! WhatsApp +1 424 537 3057
@mangekimambi Ifike mahala mtoe elimu namna gani ya kuandamana na nini kiandaliwe na kila mtu awe nacho mkononi ama kichwani ama popote ktk mwili kuishiria kutaka mabadiliko
MAENDELEO YA NANI?🤔🤔🤔
Huwa inasikitisha sana kuona wanaozuia maendeleo ya wananchi kwa sababu ya matumizi ya kipumbavu ya kodi ya umma ndio hao hao waliopo mstari wa mbele kuhubiri “juhudi za maendeleo.”
Tafakari kidogo:
Kuna Mawaziri 28, kila mmoja gari ya 700,000,000+ = 19,600,000,000 (B. 19)
Kuna Manaibu Waziri 29, kila mmoja gari ya 700,000,000+ = 20,300,000,000 (B.20)
Kuna Makatibu Wakuu wa Wizara 28, kila mmoja gari ya 700,000,000+ = 19,600,000,000 (B. 19)
Kuna Wakuu wa Mikoa 31, kila mmoja gari ya 700,000,000+ = 21,700,000,000 (B.22)
Kuna Makatibu Tawala Mikoa 31, kila mmoja gari ya 640,000,000+ = 19,840,000,000 (B.20)
Kuna Wakurugenzi wa Halmashauri 187, kila mmoja gari ya 640,000,000+ = 119,680,000,000 (B.120)
Kuna Wakuu wa Wilaya 139, kila mmoja gari ya 250,000,000 = 34,750,000,000 (B.35)
Kuna Wakuu wa Idara na Mashirika ya serikali sio chini ya 300, kila mmoja gari 500,000,000 ~= 150,000,000,000 (B.150)
Jumlisha gharama ya nyumba ya kuishi, million 500 na zaidi kila mmoja.
Jumlisha mishahara na posho ya kila mmoja, sio chini ya milioni 500 kila mmoja kwa mwaka.
Jumlisha wabunge 400 pale Dodoma, kila mmoja ana milioni 500+ kwa mwaka.
Jumlisha gharama ya mafuta ya haya magari na service kila mwaka, mwaka juzi tuliambiwa ni zaidi ya Trillioni Moja kwa mwaka.
Mind you, haya ni matumizi halali yaliyopo kisheria; hatujagusa upigaji.
Bila kusimama kuzuia huu ushenzi, tutaendelea kusubiri maendeleo na kujiuza kwa Wachina na “Mabeberu” mpaka Yesu atakaporudi.
@HecheJohn Yaani nimuamini Jaji Juma aliyekuwa anawaambia Majaji wahukumu kwa kuangalia serikali inataka Nini?Nimuamini Said Mwema ambaye kipindi chake Jeshi la Polisi liliingia kwenye kashfa kubwa za ufisadi, nimuamini Tax ambaye alikua waziri wa ulinzi kipindi Ndugu Zetu wanauwa?Wanaumwa!
(2)
The British created 3 categories of people in Uganda.
At the top were Europeans, below were Indians and Pakistanis, at the bottom, Ugandans.
Dada was left with no choice but to ask the Europeans, Indians and Pakistanis to leave Uganda.
Africans he believed should never be slaves on their own land. Dada was not corrupt.
He had no swiss accounts, assets in the west neither did he enrich himself. He was selfless in his quest to liberate Uganda and the whole of Africa from western subjugation.
He even urged other African nations to wage war with Apartheid South Africa for enslaving Africans on their own land.
South Africa would have been freed much earlier if Amin wasn't overthrown with the help of the American CIA.
Dada contributed hugely to the liberation of African countries that were still under colonial rule.
He was not a cannibal. The Hollywood movie which portrayed him as a beast that feasted on human flesh was just an attempt to shred his reputation. A campaign of calumny was launched against Dada. Sadly, many Africans fell for it.
Dada wasn't perfect. But under him, Uganda’s trade balance became positive for the first time, with the value of the country’s exports largely exceeding its imports-- a feat that is rare in Africa; it didn’t happen even under colonialism and has never again happened since his overthrow.
Uganda had no national debt under Amin. He paid for everything the government purchased and Uganda lived within its means. The currency was stable, one US Dollar was equal to 7 Uganda Shilling whereas after the end of his government the Ugandan currency depreciated until today, one dollar is equal to 4,000 Uganda shillings.
Jealous of Uganda's success under Idi Amin, the British tried to manipulate Kenya into a secret blockade of Ugandan imports and exports through the Kenyan port of Mombasa.
This almost caused the two East African countries to go to war against each other.
Kenyan leader Jomo Kenyatta was eventually talked into providing support for the Israeli raid against Uganda.
A raid that was widely condemned at the African Union and the United Nations especially since Amin had managed to negotiate a deal between the Palestinians who wanted their people freed, and the Israeli’s who wanted their citizens back.
While Amin remained committed to 'black liberation', The Israeli convinced the Kenyan government then to plot against Uganda.
In fact the total collapse of the East African Community was an attempt to try and isolate Uganda.
It was a British instigated affair where Kenya was asked to secretly hoard all the community's assets, including all the trains of East African Railways and all the planes of East African airlines, so as to try and cripple Amin’s Uganda which was part of the East African Community.
Idi Amin responded by establishing Uganda’s own airlines and Uganda’s own railway company, a feat that Ugandans are proud of to this day.
Tulilisema hili juzi tu hapa. Misri wanakunywa maji ya Ziwa Victoria ya yanayosafiri maelfu ya kilomita wakati Wasukuma hapo Mwanza, pembeni kabisa ya Ziwa hawana maji ya kunywa.
Ni aibu na upumbavu wa hali ya juu!!
Nani anaweza kusema huu ni uongo…
Bunge la hovyo lisiloweza kusimamia serikali..
Tulia na bunge lake waliogopa kujadili hata suala la utekaji, kama hauwezi kujadili jambo hilo la wananchi upo kwaajili ya nani?
Kuna sababu gani ya kuwa na muhimili unaitwa bunge kama hausaidii wananchi?
Bado Tulia na kujipendekeza kote!!!!
NINAFIKIRI KIJINGA!?
1.Kwamba kuna kijana kapewa Bilion Sita? Yuko huko Afrika Kusini? Kwa hiyo alipopewa akawaambia Mwambegele na wenzake tumieni Kanuni Kuiondoa CHADEMA kwenye Uchaguzi Kinyume cha Katiba na Sheria?
2.Baada ya Hapo kijana huyu asiye mzalendo kwa manufaa ya mabeberu akaiagiza Tume ya Uchaguzi kumuengua Luhaga Mpina wa ACT asigombee Urais licha ya kuruhusiwa na Mahakama?
3.Ghafla kwa kutumia pesa hizo akashawishi wapiga kura zaidi ya Asilimia 80 wajitokeza Kupiga Kura? Na kwa miujiza akaiwezesha tume kujumlisha kura 31,000,000 kwa kasi ya kimondo.
4.Akamuamuru IGP na IGP akatii agaizo la Kijana asiye mzalendo ? atangaze Curfew ndani ya dk 40 kabla ya kuanza utekelezaji?Bila kujali watoto wa mitaani na watu wasio na Makazi watahifadhiwa wapi na kwa namna gani? Wala wananchi watarudije makwao?
5.Kijana huyu asiye mzalendo akaamuru Polisi watumie silaha za Moto na kupiga waandamanaji risasi za vichwa,Tumbo,Viuno na Kifua? na kuwezesh maiti kujificha zenyewe ili zisizikwe?
6.Akaamuru Maiti zifichwe ili wafiwa washindwe na mwishoni kuzika viatu na nguo za marehemu wasione miili ya ndugu zao?
7.Akaamuru iundwe tume ya Uchunguzi isiyo Huru na kuagiza iitwe Tume Huru?
8.Mpaka leo serikali imeshindwa kukamata Askari walio uwa watu wakaishia kukamata ndugu wa walio uwawa na vijana wasio na hatia maake siku hizi ukikohoa au kukosoa sacarstically watukufu ni uhaini na hii ni kwa muji u wa kijana huyu asiye mzalendo?
9.Akaamuru Mtandao ufungwe kwa siku kadhaa ?!ili aweze kututandika risasi kimyakimya kutimilisha ubazazi wake? Sasa hii si ndiyo sababu nzuri ya kuunda Tume ya Uchunguzi iliyo huru na Jumuishi ya Kimataifa.. ili tuwachemshe supu hawa mabeberu?
10 Na kwa nguvu hiyo hiyo hataki Tume Huru ya Kimataifa au iliyo Jumuishi ya kutafuta ukweli wa jambo hili?
TAIFA LINAHITAJI HAKI,UKWELI NA UWAJIBIKJA
Unahitaji kuwa professional wa upumbavu kuikubali nadharia hii tepetevu.
BAK MWABUKUSI.