Kama wewe una umri chini ya miaka 45 sababu kubwa ya kuharibika kwa figo ni:
1. Magonjwa ya figo kama Glomerulonephritis. Hii huanza baada ya magonjwa ya ngozi au magonjwa ya njia ya hewa ambayo hayakutibiwa. (Irreversible).
2. Dawa za kienyeji: Hii inamaliza sana vijana washirikina na ambao kila mmea kwao ni dawa. (Hii ni dialysis maisha yako yote).
3. Systemic disease kama Malaria Kali na Typhoid. (Mara nyingi hii ni reversible).
4.kupungukiwa sana maji mwilini kwa kuharisha na kutapika.( mara Nyingi hii ni reversible).
5. Ugonjwa wa ukimwi: Hii pia inaharibu figo ya Vijana wengi hasa ambao hawatumii dawa. (Irreversible)
7. Ugonjwa wa sickle cell: kwa wagonjwa husika. (Irreversible)
Umri zaidi ya miaka 45.
1. Sukari
2. Presha
3.Tezi duke
4.Matumizi ya dawa za maumivu kwa muda mrefu. Mfano diclofenac.
Mara Nyingi zote hizo ni irreversible.
Mwisho: Pombe kupitiliza inaharibu maini sio figo.
Dear all,
The Directorate of Postgraduate Studies at MUHAS announces the upcoming PhD Half-Time Seminar to be delivered by Dr Hassan Thabit Haji on 27th April 2026.
This seminar marks a significant milestone in the doctoral programme, providing the candidate with an opportunity to present research progress and receive constructive feedback from peers and faculty.
Academic staff, students, and interested members of the public are welcome to attend.
To participate online, please use the Zoom link below.
https://t.co/s8CtCU1fuj
Meeting ID: 886 0665 3515
Passcode: 846482
Hongera kwa Dkt. Sang’udi Sang’udi kwa kufanikiwa kupata ufadhili na msaada wa kiufundi kupitia Google Health AI Developers Foundation Program!
Dkt. Sang’udi, mhitimu wa Programu ya Mandela Washington Fellowship (MWF) wa mwaka 2025 na Mwanzilishi Mwenza wa SarataniAI, anaendeleza ubunifu wa uchunguzi wa saratani unaotumia akili bandia kupitia modeli ya MedGemma— inayoimarisha utambuzi wa mapema wa maradhi, kuongeza usahihi wa vipimo, na kupanua huduma za uchunguzi zinazoweza kufanyika katika maeneo yenye rasilimali finyu.
Kazi hii inaonyesha jinsi uwekezaji wa Marekani katika watu, ubunifu, na teknolojia unavyoleta matokeo halisi—kulinda afya, kuimarisha mifumo, na kuendeleza ustawi wa pamoja kwa Tanzania na Marekani.
Hivi Liverpool tunacheza formation gani, yaani back to back defeat kweli 🥹 yaani slot sio kochaa, mapesa yote yale anashindwa kuleta mfumo mzur, we lost a ball easy like that.. it’s hurts 🙂
It is not just a dream, it is now becoming a reality with @sarataniAI
We are empowering nurses and doctors for cervical cancer screening even in primary care facilities.
Tested with 5 Hospitals and collected 400+ VIA images
Thanks to our supporters and partners