GRANOLA: Nzuri uki tengeneza mwenyewe nyumbani Usizoee ya kununu,
Nirahisi sana Ingredients zinapatikana katika soko lolote jirani nawe.
1. Ndizi mbivu,
2. Tende zakuiva,
3. Almonds,
4. Karanga Mbichi,
5. Korosho,
6. Nazi,
7. Maziwa Fresh,
Nb: Utavisaga kwa pamoja nakisha kutumia kila siku kwa muda wa siku 15, Utaanza kuona mabadiliko,
Ninzuri kwa matatizo ya homoni imbalance kwa wanaume na wanawake kwenye uke mkavu.๐ฆ๐๐