Mchongo ndiyo huu sasa Unaweza shine na logo yetu kibabee tuu.
Sio kila siku tutinge ya nje wakati tuna vyetu vya kujivunia .
Unaweza mcheki mwanetu @fivara_ kaa info zaidi.
New video “Wakala” out now 🎬🎬🎬
Directed by Raban
Starring @majojo91
Merchandise @Hatua_tz
https://t.co/APBcQKZjbi
Watch, Subscribe, Comment, Like & Share!!