@mTusiOriginal Hamna alimpata Shilole akiwa boda boda janja alikuwa boda wa Linah kuna siku Shilole hakuwa na gari akamwambia lina nipe boda wako unaenuamini ndio akapewa no. Ya janja ndipo walipojuana.ila janja mzee wake fundi gereji Mwananyamala pale ndio alipokuwa anakufa pale
BREAKING NEWS : Kwa mara ya kwanza John Heche, amefanyiwa mahojiano na Radio inayomilikiwa na TBC ya Bongo FM, lakini ajabu alikua anatetemeka sana na kujikunyata sana sijui alikutwa na nini au ndiyo alipoteza kujiamini
Kuna siku tupo mango garden na mshkaji wangu tunapiga vitu siku hiyo kulikuwa na kanga mimi imefika usiku mkali mimi nafosi kuondoka mara tukasikia tangazo sasa namleta jukwaani "Mariam matako" jamaa akasema Hii ya mwisho kusogea jukwaani kumbe mdogo wake tuliondoka muda huo huo
Kuna dogo mtaani nilimtafutia kazi K/koo duka la jumla imepita Km wiki 2 yule madam ananiambia umeleta mtu wa maana kabisa muda mfupi amejua vitu vingi. leo nimepita dukan madam ananiambia dogo nimemuambia apumzike mpaka nitakapompigia nikauliza kazingua nini?
Taarifa: Ili kumuunga mkono Mwenyekiti wetu Lissu na struggles zake gerezani, nimeamua kumuiga style yake mpya ya nywele…Sitachana wala kunyoa nywele zangu mpaka atoke jela akiwa HURU✌🏾✌🏾
#LiMwenyekiti#KatibaMpya#FREELISSU