Zaburi 107:32
Na wamtukuze katika kusanyiko la watu, Na wamhimidi katika baraza ya wazee.
Psalm of the day
Let them exalt him also in the congregation of the people, and praise him in the assembly of the elders.
USISAHAU KAMWE AINA 3 ZA WATU KATIKA MAISHA YAKO. #thread 👇👇
1. Waliokusaidia wakati wa shida.
2. Waliokuacha wakati wa shida.
3. Waliokuweka kwenye shida.
NB: Rudia tena kusoma kutoka chini 📌
Mithali 19:4
Utajiri huongeza rafiki wengi; Bali maskini hutengwa na rafiki yake.
Proverbs 19:4
Wealth maketh many friends; but the poor is separated from his neighbour.
#bible#YUniverseAwards2025xDMD