I Don't Deal With One NICHE I Creat What I Think And What I Read 📖 🤔
Don't Tell The Societies.
Don't Hate My Opinion I Don't Believe In Violence Let's Discuss
DAWA YA KIDONDA KISICHOPONA, KIDONDA SUGU (non-healing wound)
Nakuambia hivi hata kama umeambiwa ni lazima ukatwe mguu au ukiungo chochote Cha mwili wako kwasababu ya Kidonda Hapana usikubali tulia hapo nikuelekeze dawa mjukuu wangu,
Hakuna sababu ya wewe kuanza kuzika viungo vya mwili wako kabla ya kifo chako halisi Fanya yafuatayo ili uondokane na shida ya Kidonda chako.
Chukua magome hayo makavu yaliyojibandua kutoka kwa mti wa mpera mengi iwezekanavyo
HATUA ya pili yakaushe yakauke VIZURI kabisaaaa
HATUA ya tatu yachome hayo magome Kisha yasage upate poda yake
HATUA ya NNE tafuta mafuta ya mawese
Jinsi ya kutumia
Safisha Kidonda chako VIZURI kabisaaaaaaa kwa maji yenye chumvi kiasi, ukimaliza basi wewe utachukua dawa yako Ile poda ya magome ya mti wa mpera yaliyojibandua uliyoiandaa
Chukua kiasi tuu changanya na mafuta ya mawese kidogo Kisha pakaaa kwenye Kidonda chako Kisha kiache wazi usikifunike
Kila siku Fanya hivyo mara moja nakuambia ndani ya wiki moja utakuwa umepona kabisaaaaaaaa
Mjukuu wangu haya maarifa nayaleta kwako ili yakusaidie wewe au ndugu ama rafiki yako mwenye shida
Kwa wale WENYE vidonda na Wana shida ya kisukari wao Wana dawa tofauti na hiii ipo ni ya maji ni nzr inaponya kwa mda mfupi sana,
Inaitwa Care ninaziuza kwa wingi na mikoani ninatuma kwa wanaohitaji
Ukiihitaji nicheck kwenye comment. Au WhatsApp number 0680114218
Kama mwanaume, nakuahidi
• Zungumza kidogo
• Sikiliza zaidi
• Sema HAPANA mara kwa mara
• Kula chakula bora
• Fanya Mazoezi
• Kunywa maji zaidi
• Pata Muda wa kupumzika
• Ipende familia yako
• Linda amani yako
• Dhibiti mawazo yako
Fanya hivi mara kwa mara utakuwa utakuja kunishukuru baadae
#UZI
💨JINSI UNAJUA TOFAUTI YA FLAGSHIP, MID RANGE NA LOW END/ ENTRY (SMARTPHONE)?
Watu wengi hukanganyikiwa wakiona simu tofauti zikiwa na bei tofauti sana… lakini tofauti kubwa iko hapa 👇:
ANDROID SECRET CODES
*#06# → Show IMEI
*#*#4636#*#* → Phone info
*#*#0*#*#* → All hardware test
*#*#349715339#*#* → Camera details
*#*#2664#*#* → Touchscreen
*#*#0842#*#* → Vibration & lights
*#*#232339#*#* → Wi-Fi information
*#*#232338#*#* → Wi-Fi MAC address
*#*#7262626#*#* → Field test
*#*#1472365#*#* → GPS information
*#*#232331#*#* → Bluetooth test
*#*#1234#*#* → Software version
*#*#12580*369#*#* → Software and hardware
*#*#44336#*#* → Version
*#*#8351#*#* → Voice call forwarding
*#*#8350#*#* → Voice call forwarding
*#*#7780#*#* → Factory reset
*2767*3855# → Full reset
Viazi vitamu vina Beta-carotene, virutubisho muhimu vinavyobadilika kuwa Vitamini A mwilini.
Hii husaidia kulinda afya ya Macho, kudumisha Uoni mzuri, na pia kuimarisha Ngozi, ikifanya iwe laini, yenye rangi nzuri na yenye afya.
Natural foods for men’s sexual health
🍌 Banana for energy
🥥 Coconut for strength
🌰 Tigernut for stamina
🌴 Dates for endurance
🍉 Watermelon for erection
🧄 Garlic boost testosterone
Blend all the ingredients together and drink one glass in the morning and night for 7 days to boost sperm quality, Testosterone levels, energy and stamina.
Sababu kwanini Ukristo ulikuja vibaya Afrika how doesn't prayers trigger hard working?? I have been doing for quite sometimes now. Naona maombi ambayo hayachagizi kufanya kazi zaidi, kusumbua kichwa, kutokeza/kujenga vitu its simply being religious, just to fulfill some religious requirements without necessarily, results.
💨JE NI MUDA SASA WA KUHAMIA INFINIX??
Hii hapa ni Infinix hot 70 mpya kabisa sokoni inakuja ikiwa na;
▫️Betri: 6000 mAh (Chaji 45W, inajaza 50% kwa dk 25).
▫️Kioo: 6.78" IPS LCD, 120Hz (Smooth sana).
▫️Processor: Helio G100 Ultimate (Inafaa kwa matumizi ya kawaida na gaming ya wastani).
▫️Memory: RAM 4GB/6GB/8GB na Uhifadhi wa 128GB/256GB.
▫️Kamera: Nyuma 50 MP / Mbele 8 MP.
▫️Uimara: Inahimili vumbi, maji (IP65), na mnyambuliko wa kuanguka (Drop resistant).
🔸Unapatikana dukani kwetu kwa gharama
420,000tsh.
Mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa sana.
📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
https://t.co/v5qsISsiWm
💨 Ngoja leo nikupe sifa za saa ya Redmi watch 5 active.
▫️Hizi ni sifa kuu za [Xiaomi Redmi Watch 5 Active]():
▫️Skrini kubwa ya inchi 2.0 yenye mwonekano wa 320 × 385.
▫️Betri ya 470mAh inayoweza kudumu hadi siku 18 kwa matumizi ya kawaida.
▫️Bluetooth Calling – unaweza kupokea na kupiga simu moja kwa moja kupitia saa ikiwa imeunganishwa na simu.
▫️Vipimo vya afya:
🔸Kipimo cha mapigo ya moyo (Heart Rate)
🔸Kipimo cha oksijeni kwenye damu (SpO₂)
🔸 Stress Monitoring
🔸Zaidi ya aina 140 za mazoezi (Sports Modes) kwa kufuatilia shughuli mbalimbali za michezo na mazoezi.
▫️Water Resistant. Haiingi maji kwa matumizi ya kawaida.
▫️Bluetooth 5.3 kwa muunganisho wa kisasa na thabiti.
▫️Inafanya kazi na Android na iPhone (iOS).
▫️Uzito wa gramu 30.6 tu, hivyo ni nyepesi kuvaa siku nzima.
▫️Inaendeshwa na Xiaomi HyperOS na ina uwezo wa kupokea message za simu, WhatsApp na programu nyingine.
▫️Unaweza kuweka picha yako kama wallpaper kwenye screen.
🔸Saa hii inapatikana dukani kwetu kwa gharama 100,000 tu.
🔸Mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa sana.
📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
https://t.co/v5qsISsiWm
@ByCardoJason Kwote jau mzee humu kuna mitaa ukikatiza unakutana vitu unashika kichwa 🙆 suala ni ukiwa humu unafuatilia nini na vitu gani unataka kuviona