Kwenye kununua Soundbars, kama una budget nzuri nunua soundbar yenye feature ya ARC inayosupport HDMI CABLE, ambapo unaunganisha Moja kwa Moja kutoka kwenye TV
Faida yake ni Nini? Unapata mziki mkubwa zaidi kuliko kutumia Bluetooth, kwa Aiwa nadhani kuanzia 500W kwenda juu Ina hiyo feature.
Mfano kama hii hapa ni Aiwa Model MX900T maximum watts mpaka 800, Noma sana hii
Utasumbua sana majirani ๐๐
Lishe bora ndio msingi bora wa ukuaji wa mwanao,kwenye maelezo nimeelezea vyanzo vya protini,wanga,mafuta nk. unaweza kubadili badili unavyotaka kulingana na upatikanaji wake ilimradi huweki vitu vinavyofanana kwa mara moja. unaweza kutumia karanga badala ya dengu,maraharage badala ya karanga na dengu. Fuatilia mpaka mwisho uelimike sasa
Msisahau kupima H.Pylori ,dundumio ,mafuta ,sukari,brusela ๐งซ. Haya matatizo ni balaa jipya mjini ๐๏ธโ ๏ธ.
#doktamathew ๐จโโ๏ธ #fyp #highlights #viral ๐ฅ๐