Muigizaji nguli wa tasnia ya Bongo Movie Nchini, Hashim Kambi amefariki Dunia leo, Aprili 27, 2026, Sinza jini Dar es Salaam. Kambi amekuwa na mchango chanya katika ukuaji wa tasnia ya uigizaji hapa nchini.
Ni filamu gani unaikumbuka iliyowahi kukuvutia aliyoigiza Hashim Kambi?
Je, ni eneo gani la uhusika amekuwa akilitendea haki kwenye uigizaji wake?
#KitengeUpdates
Nilichopenda kwa kwa Kocha Steve Baker kwenye hii Muungano Cup, ameua ndege wawili kwa jiwe moja
1.Amewapa nafasi wote ambao huwa hawaanzi [Hapa amelinda vipaji na kuwaongezea kujiamini ]
2. Ameifikisha Simba SC Fainali kwa hesabu kali [ Yes Simba anaenda Fainali] Leo sub zake 3 zote zimetoa matokeo ndani ya dakika 20
Chama assist 2, Mwalimu kafunga, Oura kafunga na assist moja pia
Hapa mimi nampongeza kocha hasa kwa hilo namba 1 linabeba vyema dhana ya #ProjectTheFuture π
πΏπΌ Zimbabwe has delivered! π
A successful hosting of the #ASFC26 marks a proud moment for the nation which is their first CAF event in nearly 7 years, and theyβve truly risen to the occasion.
Massive credit to CAF President Patrice Motsepe for entrusting Zimbabwe with this opportunity and to FA President Nqobile Magwizi for the leadership and commitment shown throughout.
Credit as well to all the participating teams for making the tournament truly special.
Congratulations to Ghana for successfully defending their Girls U15 title and to Senegal for emerging champions in the Boys U15 category.
This tournament reflects the progress, passion and growing strength of football in Zimbabwe.
Zimbabwe is ready, capable and back on the continental stage.
Hopefully, this is just the beginning of many more to come. πΏπΌβ¨
CAF President: βWe must continue to invest in our youth. The CAF African School Football Championship has seen over 3 million boys and girls from Africa participating.β
ππ’π²ππ³π’πͺπ‘ππ§π²π π§π ππ°π ππ’π¦ππππ°π π
#AfricanFootball
#Zimbabwe
π¨ Tino Livramento is not close to joining Manchester City in a summer deal, despite reports in last 24h.
Nothing concrete, advanced or close so far. City wanted Livramento one year ago but no fresh talks so far.
#MCFC still expected to sign a RB. π
π₯ https://t.co/OxDJpfmc3w
Today, CdA Lentz engaged in a candid exchange with President Samia Suluhu Hassan about the present and future state of the U.S.-Tanzania bilateral relationship.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekutana na kuzungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Andrew Lentz, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, tarehe 08 Desemba, 2025.
Pamoja na masuala mengine, walijadiliana kuhusu ushirikiano wa kiuchumi, kisiasa, kijamii pamoja na miradi mbalimbali ya maendeleo baina ya Tanzania na Marekani.