Natural Resources| Economic Governance| Tourism| Political Economics| Gender| Microfinance| Public Health| God| Family| Football, in no particular order!
@MabalaMakengeza@IAMartin_ Mind you, unampiga risasi mtu ambae kodi zake zinalipa mshahara wako na pia kodi yake imenunua silaha unayotumia ili imlinde
Kaa aina ya Bunge lililopo, nafikiri Ado Shaibu anastahili pongezi kwa uwakilishi wake. Kila bunge huwa lina star MP. Japo bado mapema, Shaibu anatoa taswira ya kuwa mbunge bora kwenye bunge hili. Ni matumaini yangu kuwa hatajichakachua
Kuna nguchiro wamechapisha namba yangu binafsi ya simu mitandaoni na kuanza kuhamasisha watu wanishambulie. Nataka kuwaambia huo ni upuuzi na ni uvunjaji wa Sheria.
Ukiondoa watu wachache sana wanatuma meseji za hovyo, asilimia 99 wananitumia meseji za kunitia moyo na kueleza utayari wao wa kuilinda nchi yao dhidi wenye nia ovu. Wale wanaoeleza changamoto za ajira na mitaji ninawapa majibu na nafikisha kwa wahusika zifanyiwe kazi.
Nguchiro na chawa wa nguchiro acheni kupoteza muda na rasilimali mkiporomosha matusi, tulieni na tuungane kujenga na kulinda nchi yetu.
Tunapoisubiri kwa hamu ripoti ya Jaji Chande, ni maombi yangu ya dhati kuwa ripoti husika, atakaeiwasilisha, atakaeipokea, na sisi tutakaoijadili, tutakuwa sensitive na majonzi yaliyowapata familia na wahanga wa Oct 29. Mungu ibariki Tanzania!
Selemani Bungara aka Bwege ni mwanasiasa mahiri asie mfano. Hakuukwepa ukweli. Alidiriki kuwa kinyume hata na chama chake ili kuutetea ukweli. Siasa zake hazina maudhi japo zinachoma. Hakuwa mdini wala mkabila, hakuwa na dharau wala mwizi. Exactly tunachokitaka leo. Gone too soon
If you are yet to follow the SA's Madlanga Commission on members of Police Service's corruption/crimes, please do. I find it absolutely educational. Another reason to believe that Africa is not entirely a lost cause. We do have pure souls out there!
@mshambuliaji Nikiwa mdogo (darasa la kwanza-pili) tulikuwa na kikundi chetu chini ya kaka mkubwa Ramadhani Masanja pale sinza. Mimi mkristo ila pesa yangu mwenyewe nilianza kuipatia kwenye hiki kikundi. Banza alipoacha kikundi kikafa ila yeye akaingia kwenye mziki 100% and the rest is history
Ukitafakari kuwa mzee Butiku alikuwa mmoja wa close confidants wa Polepole, unapata reality check. Kwenye haya maisha, kaa mbele ya kioo, huyo unaemuona kwenye kioo, ndio mtu pekee unaepaswa kumwamini 100%. Jipende, jithamini, jipe kipaumbele kabla ya mengine yote. Maranatha!