Ipo siku namimi nitafurahi Kama watu wengine, atakama siyo kwa Maisha Aya hapa Duniani basi kwenye Ufalme wa MUNGU nitafurahi UTAKUWA akuna maumivu, uzuni wala machozi MUNGU atafuta fedhea na maumivu yote niliyopitia hivyo nitakuwa nafuraha isiyokoma #tabasamuatakamakunamaumivu
Mi nashauri kwenye condom wangeeka alarm Kama ikipasuka iwe inalia...
"Tiriirii tirii titiriiii tiriii mpendwa mteja kwasasa upo live mode chagua kuendelea au kuitwa Baba"