Mpango wa MUNGU kila wakati ndio ulio bora zaidi. Wakati mwingine mchakato huwa unakuja na maumivu makali. Lakini usisahau kwamba MUNGU anapokuwa kimya, kuna kitu anafanya kikubwa na kilichobora kwa ajili yako. Kuwa mnyenyekevu na mwenye Subra 🙏
Huyu mshikaji ni moja kati ya watu waliofanikiwa kupitia betting mshikaji anapiga hela ambayo mtu aliye ajiriwa serikarini hawezi kuingiza hata alale kwa mganga.
Gambling inalipa ukiwa na mtaji lakini.
BRO TO BRO
Kuna huu Umri wa miaka 25 - 35+
Hiki kipindi ambacho unakutana mapambano makali zaidi, sio dhidi ya ulimwengu, bali dhidi yako Mwenyewe.
Huu ndio umri ambao unavunja mnyororo wa tabia zako za zamani na kuinuka, au unabaki kuwa mfungwa wa maisha yako ya nyuma