Wanasema 'Mwenye nidhamu ya kazi ndiye anayekula matunda ya jasho lake.' Huku ugenini tunasema kazi na kadi ni mwendo wa kistaarabu! 💯 Drop comment yako kama unaamini katika kupambana kwa nidhamu popote ulipo duniani. 👇🏽 #RespectAndMoney#abidoltheking#creatorsearchinsights
Wanasema 'Mwenye nidhamu ya kazi ndiye anayekula matunda ya jasho lake.' Huku ugenini tunasema kazi na kadi ni mwendo wa kistaarabu! 💯 Drop comment yako kama unaamini katika kupambana kwa nidhamu popote ulipo duniani. 👇🏽 #RespectAndMoney#abidoltheking#creatorsearchinsights
.
.
Kwa Mara Ya kwanza Napenda Kuwakaribisha kwenye Siku yangu Pendwa Ambayo Itakuwa Ni Siku Kubwa Kwangu Save the Date Dont Miss It .
👑💍👑
#KingAbidol https://t.co/EfaPUgZ7rm
.
.
Kwa Mara Ya kwanza Napenda Kuwakaribisha kwenye Siku yangu Pendwa Ambayo Itakuwa Ni Siku Kubwa Kwangu Save the Date Dont Miss It . 👑💍👑
#KingAbidol @ Dar es Salaam, Tanzania https://t.co/7hSTW5yqzF
.
.
Kiukweli Kabisa Nafurahi Kuona Ndugu yangu Akifanya Jambo La Kheri #NDOA namuomba Allah Amfanyie Wepesi kwenye Ndoa Yake .
Ya Rabbi Tujaalie nasi mwakani tuwe Kwenye #NDOA Ameen 🤲🤲
#KingAbidol#SupportedByAbidol https://t.co/BW5UsPl1rZ
Enzi Zetu Kwetu Tanga Kulikuwa Kuna King’ora Cha Bandari Na Cha Railway, Kimoja Kinalia Saa 12 Na Kingine Kinalia Saa 12 Na Nusu Asubuhi, Aaaf Vinasikika Tanga Nzima Yani Hatukuhitaji Alarm Ya Simu Kutuamsha Asubuhi Kuwahi Shule Wala Kazini!!! Maisha Yanaenda Kasi Sana!!
MY BROTHER@bobjuniortz
RAIS WA MASHAROBARO
BAAAK AGAIN
#ITETEMESHE
Duet With @iamlavalava 4m
Full Video On YouTube Link On Her Bio 👇🏻@bobjuniortz https://t.co/CKLwMaE7uU
Nimeshuhudia Watu Wengi Wakibadili Mitazamo Na Misimamo Yao Mara Tu Baada Ya Kuguswa Directly Na Madhila Yanayowakuta.Lipo Kundi Kubwa Linaamini Liko Safe Coz Bado Hawajaguswa!
Sikutishi Nakwambia Ukweli, Usisubiri Mpaka Yakukute, Mfanye Jirani Yako Kama Case Study!! CHANGE ur 🧠