Ukiweza kuishi Low-key Life utaona unapiga hatua za Maisha yako hata kuwa na peace of Mind
-Jijali(Jipende)
-Vaa vizuri
-Kula vizuri
-Fanya mitikasi Yako
-Tafuta pesa(Ridhika unachopata)
-Rudi home Mapema
-Huulizi habari za wengine
-Fanya mazoezi
-Itunze familia
@swadakta_