@BarakaMaviatu Mpaka uliruhusu mbegu yako ikamea hapo pana kiasi kadhaa cha uzuri wake uliokuvutia, kumbuka maamuzi yako yana madhara (yawe chanya au hasi) kwenye maisha ya mwanao. Fanya "risk-based" decisions zitakazolinda haki zenu wote watatu.
@BarakaMaviatu Umuhimu na mahitaji (not necessarily in that order) ya malezi ya wazazi wote wawili yanabadilika kwa misimu ya ukuaji wa mtoto. Kuna kipindi mshua ukiwa active unakuwa tairi la tatu kwenye baiskeli (mfano 0-7 years)....akishabalehe, (haswa ME) mshua ndio anashika usukani