Afya yako ni Kitu cha Thamani sana Katika Haya Maisha, Kulitambua hili Maasai Herbal Clinic tumekuja na Dawa za Asili zinazotibu na Kuondoa Matatizo mbalimbali.
Dawa ni nzuri na zinaondoa shida zifuatazo
🌿Kutibu pressure ya Kupanda na Kushuka
🌿Kutibu vidonda vya Tumbo
🌿Kuondoa Gesi tumboni
🌿Kutibu UTI na PID
🌿Kutibu Maumivu ya Jino
🌿Kuimalisha na Kun’galisha meno
🌿Kurefusha na kunenepesha Uume
🌿Kuimalisha Misuri ya Uume
Tupigie Kwa Simu namba 0788 177 071
Dawa zetu ni bora na Nzuri kwa Afya Karibuni sana.
Siku moja Mke wangu ( Neema ) alikuwa ananipeleka ofisini , tukiwa njiani maeneo ya New Arusha Hotel kuna dada mmoja alikuwa anafanya mazoezi anatembea , alikuwa amependeza sana na outfit zake za Nike , nikawa namtolea macho kwa nia njema , mbele kidogo kuna round about , badala ya Neema aendelee kwenda ofisini akazunguka ile round about kurudi tuliko kuwa tunatoka , nikafoka nikasema , vipi unarudi wapi ? mimi nachelewa ofisini , Neema , akajibu kwa upole , Godbless nataka umuangalie huyo dada na kwa nyuma ? Nikajibu honey , I just like her outfit , akajibu , ndio maana nataka uziangalie na kwa nyuma !! Nikaleta yada yada pale yakaisha , lakini nikajifunza , unaweza kuwa unafanya kitu ukafikiri watu hawaoni kumbe wanona vizuri sana .