@ahmedy____ally @IamMosesPhiri mwambie kocha dunia imemis kupiga saluti..kama yy phiri haingii kwenye mfumo wa tinho bc tinho aingie kwenye mfumo wa GENERAL...tunahitaj kupiga salute bn
@salim_tryagain Viongoz wetu kwa msimu huu hakuna tunachowadai..mmeifanya kazi yenu vema cn,, kazi kwao.wachezaj wetu kutuheshimisha africa na dunian kwaujumla
@Kiddy871 Hatuwez kubato naaazam cc kwenye kuwania mchezaj,, kama cc tunamtaka tunamwambia amuulize bwalya,, alafu tunamuacha aamue..uto ndio wabato na azam cyo cc
@ahmed__ally kwanza hongera cn kwakaz kubwa uliyoifanya semej..umepigana vita na wenzako zaid ya watatu lakin bado ukionekana mshind japo hatujachukia kombe br ww ni mshind vs chawas..bt tunaomba huo kocha aje ikiwezekana mleten na yule wamakipa wauto huyo mrwanda wann cc