Kwa Mujibu wa Mchezaji wa Shakta Donestick na Timu ya Taifa ya Ukraine Georgiy Sudakov: Amesema 🗣️ "Mykhailo Mudryk Ni mchezaji mahiri Kwa sasa na yupo katika daraja la juu Kwa sasa, Kiasi ana uwezo wa kuchukua hata Ballon d’Or kutokana na Ubora wake Na hiyo ni juu ya yeye
kuamua.."
JE Unakubaliana Naye....?
Mykhailo Petrovych Mudryk ni mwanasoka wa kulipwa ambaye anacheza kama winga wa klabu ya Ligi Kuu ya Chelsea na timu ya taifa ya kandanda ya Ukraine.
Mbeya Boy Izzo Bizness @izzo_bizness_mbeya @izzo_bizness_mbeya anazungumza nasi hivi punde kuhusu ujio wake wa 2020, Vipi kuhusu MANIGA wenye SHOBO?
Na vipi, Kuna lolote kuhusu THE AMAIZING?
Ungana na @ramalove_huncho @adamsolinzatz @kibooh66 & @am__kiki
Music By @djkim_kraken
"Siku saba waziri ataleta hati pamoja na Mkuu wa Mkoa na Mwenyekiti wenu hapa nitasaini hapo hapo kufuta yale mashamba na nitayagawa kwenu lakini msiwe na migogoro. Kutakuwa na vipande vya wafugaji na vipande vya wakulima" - Rais @MagufuliJP#Accessfmradio#Updates
"Sheria inasema mtu ambaye si Mtanzania haruhusiwi kumiliki ardhi labda apitie TIC sasa inakuwaje mgeni apewe?, sasa maagizo yangu ni haya, ndani ya siku 7 iletwe hiyo hati na hizo heka 5000 zikatwe baadhi wapewe wananchi" - Rais @MagufuliJP#accessfmUpdates
#AWARENESS
Utafiti unaonesha kuwa watu wenye vipawa/akili nyingi mara nyingi huwa na uandishi mbaya mno wa mikono kwa sababu akili zao zinafanya kazi haraka kuliko mikono yao.
@accessfmradio1#MezaYaDhahabu
ALHAMISI YA LEO Kwenye DAILY MIRROR ya @accessfmradio 100.9 MHz Saa Nne asubuhi hadi saa saba Mchana Fahamu mengi kuhusiana na Mwanamuziki Mkongwe wa Miondoko ya Reggae Bob Lau, Mwanzilishi wa Studio ya Jam Vibes na Mwanamuziki wa Kujivunia kutoka Jijini Mbeya.
“Kutokana na mwenendo wa Corona kuendelea kuwa mzuri, Corona imepungua sana, naomba nitangaze kuanzia June 29 mwaka huu nafikiri itakuwa Jumatatu, shule zote zilizokuwa zimebaki zifunguliwe, lakini Watanzania waendelee kuchukua tahadhari”-JPM
#BUNGENIDodoma
“Napenda nitumie fursa hii kulipongeza bunge tukufu kwa kupitisha azimio la kunipongeza japo pongezi hizi ni za watanzania wote kwa kuondoa hofu na kupambana na virusi vya Corona.” - Rais @MagufuliJP
BUNGENI DODOMA
#AWARENESS
Wabobezi wa Mambo Wanasema, “Pizza zinazoliwa kwenye bara la Amerika kwa siku zingepangwa zingeweza kuchukua eneo lenye ukubwa wa hekta 18”.
@accessfmradio1#MezaYaDhahabu
#AWARENESS
Paka husugua nyuso kwa watu ambao huwachukulia kama koo zao(territory).
Kama Paka akisugua uso wake kwa mtu au kitu huwa anachukulia kama Mwanafamilia wake.
@accessfmradio1#MezaYaDhahabu
#AWARENESS
Wabobezi wa mambo wanasema, “Muundo wa ulimi wa Binadamu ni wa kipekee na haufanani kati ya mtu mmoja na mwingine kama ilivyo alama za vidole(Fingerprint)”
@accessfmradio1#MezaYaDhahabu
#AWARENESS
Wabobezi wa mambo wanasema, “Ukiangalia juu ya anga la blue(mawinguni) na ukiona kuna vidoti vidogo vyeupe vinazunguka; unakuwa unaona seli zako nyeupe za damu”
@accessfmradio1#MezaYaDhahabu