Falling in love with the 'Muslims', hawa watu wanayo misimamo safi, hawachagui jina la Sheikh wala jengo la msikiti.
Jamaa wanaifanya ibada yao popote. Sasa sisi tunaojiita wakristo, Mungu aturehemu.
Dunia itakuwa mahali salama pale tutaamua kuacha kuitangaza amani tusiyoijua, badala yake tuanze kuyafichua mapanga na Mabunduki tuliyoficha mioyoni.
Tumeshauana kiasi cha kutosha.
Jana nimekaa mahali akaja mtoto kunisalimia kwa kunishika mkono, nikawaza ni mchawi (Pepo ) amekuja Kwa sura ya mtoto.
Baadae nikagundua mtoto yule ni kawaida yake kupita maeneo yale na kusalimia watu wote.
Ndioo.... #IweJuaIweMvua π₯ π₯
Makundi tutaingia Insha'Allah ππ»
Ndio Slogan tutakayokwenda nayo kwenye mechi dhidi ya El Hilal ktk Ligi Ya Mabingwa tarehe 8/10 Mwaka huu.
Kila Mwananchi afanye jitihada za kuhakikisha tunajaza Uwanja na kwenda kushangilia Club yetu siku hiyo.
UPDATES: Hadi sasa zimeshakusanywa TZS 1,890,321/=, bado Uhitaji ni Mkubwa. Mgonjwa amehamishiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, na kwa sasa yupo Emergency. ππ½ππ½ #ForArafat