"Hili zigo tunalibebesha kwa Jeshi la Polisi Kanda ya Dar es salaam na Mkoa wa Kipolisi wa Ilala na wilaya zake zinazohusika na eneo hilo la Mahakama hizi mbili, za Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufaa." Mhe. @jjmnyika
Nimepokea taarifa ya kukamatwa kwa SAILENCE MWAKASALA Mwenyekiti wa CHADEMA Student Organization mkoa wa Mwanza mchana huu, Polisi 5 mmoja tu ndiye aliyevalia sare wakiwa na mitutu ya bunduki wamevamia nyumbani kwake na kumchukua kwa nguvu. Tunaendelea kufuatilia kila hatua.
REPOST 200
#FreeMwakasala
Ingekuwa ni kutoa tuzo
1. Best politician- Lissu
2. People’s president- Lissu
3. Best lawyer-Lissu
4. Best Orator- Lissu
4. Best public speaker- Lissu
Simply best
Hakikisha UNAISHINDA NJAA utakuwa huru kweli kweli.
GenZ tunao uwanja mpana wa kupambana na NJAA hasa kupitia mitandao ya kijamii.
Ukiweza ITUMIE vyema hakikisha unaishinda NJAA uwe huru.
HAKUNA TAKATAKA ATAKUPELEKESHA CHINI YA JUA.
#TANZANIA: CHINA WA CHINA WA CHADEMA ADAI ALITEKWA NA SI KUKAMATWA, "ETI NILIPANGA KUMUUWA MBUNGE"
Aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA mkoa wa Mbeya na makamu wa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Nyasa Joseph Mwasote amesema siku ya tarehe 25 Oktoba 2025 hakukamatwa na jeshi la polisi bali alitekwa.
Mwasote ameeleza hayo wakati akizungumza huko Nakonde nchini Zambia ambako kwa sasa anaishi na kufanya biashara zake, akieleza ukimya wake kwenye siasa na madhira aliyopitia tangu mwishoni mwa mwaka jana hadi sasa hadi kuuawa kwa mwanaye Oktoba mwaka 2026.
Zaidi: https://t.co/vMy83wBKM3
Mahakama popote duniani inapokubali ku-compromise, ni suala la muda tu kabla ya taifa kulipa gharama kubwa zaidi. Hata kama si leo, historia huja kutoa hukumu yake.
Mahakana ya Tanzania ni kituko. Kesi ya Lissu imeahirishwa hadi tarehe 3.72026. Hakuna sababu iliyotokewa.
Huenda ni kwa sababu ya intelijensia za Polisi au maagizo kutoka juu.
Huu ni ushahidi mwingine wa Mhimili wa mahakama kutokuwa huru.
Polisi mmoja mwenye sare na wengine wanne wasio na sare wamemchukua kwa Nguvu Mwenyekiti wa CHASO Mkoa wa Mwanza, SAILENCE MWAKASALA. @advocate_sailence_mwakasala.
Hawajasema kosa ni nini na wala wanampeleka wapi? Mawakili wetu waliopo Mwanza wanafuatilia kwenye vituo mbalimbali ndani ya Jiji la Mwanza.
Something has to be done to rescue this situation.
Hizi mahakama, kupitia orders mbalimbali kutoka juu, zinaonekana kudhamiria kwamba Lissu aozee gerezani.
Hofu yao kuhusu Lissu kurudi uraiani inaonekana kuwa kubwa mno.
Hii nyomi ya KARATU lazima wakoloni weusi walale wanasonya.
Hiki chama ambacho hakina RUZUKU kinawezaje kufanya yote haya?
Jibu ni jepesi "kushiriki mikutano ya hiki chama ni KUFANYA IBADA YA KWELI"
ASANTENI KARATU KWA KUIHESHIMISHA CHADEMA.
Kuwashikilia wanachama wa Chadema wanaokwenda Musoma kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani ni uvunjaji wa wazi kabisa wa Ibara ya 20, 26(2) na 29(1)-(2) & (5) za Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Hakuna amri yoyote au zuio lolote lile la Mahakama juu ya Wanachadema kushiriki katika maadhimisho ya kimataifa ya Siku ya Wanawake au kushiriki katika shughuli za siasa. Sheria i wazi kuwa zuio lolote lile la Mahakama haliwezi kuvuka miezi sita labda kama limehuishwa. Sivyo ilivyofanywa kwenye kesi ya Saidi Issa Mohamed na wenzake wawili HAIKUHUISHWA hivyo zuio hilo lilikoma tarehe 10 Desemba 2025.
Wale wote wanaoendelea kuwazuia wanachama wa CHADEMA kufanya siasa ambayo ni haki yao ya Kikatiba watashughulikiwa katika unafsi wao na kudaiwa fidia kubwa. Hatuwezi kukubali ubabe katika ya nchi inayofuata demokrasia ya vyama vingi.
SAMIA na CHADE watu Wana mchora Tu, msimamo lazima uchunguzi uwe Huru, wazi na usawa , lazima Haki ya kila mtu ipatikane , LAZIMA
Rukeni kama maharage mwisho wa siku kitawalamba na vile Mafwele bado anatumia majambazi wake kuteka watu
UK AMBASSADOR TO UN HUMAN RIGHT :
Tanzania saw shocking violence following its elections in October, including evidence of extra-judicial killings and concealment of dead bodies. There must be an independent, transparent and inclusive investigation of these events to ensure accountability and that the fundamental freedoms and constitutional rights of all Tanzanians are protected.
https://t.co/V3qWnKmPwg
Huyu Punda yupo na anapumua Sema wanaUVCCM wamepewa Order ya kueneza Umbea ili kuwatoa watu kwenye Njia Ya ICC Yupo South Africa kwa sema South wanausenge sana yaani wanapokea Muuaji