Kiongozi Mkuu wa Jamhuri ya Kislamu ya Iran Ayatollah Ali Khamenei mwenye umri wa miaka 86 aliuwawa katika mashambulizi ya Israel na Marekani Jana jumamosi 28/2/2026, amekuwa madarakano tangu 1989.
#diplomacyMustPrevail
"π£πΌππ²πΏππ πΆπ ππ΅π² ππΌπΏππ π³πΌπΏπΊ πΌπ³ ππΆπΌπΉπ²π»π°π²." β Mahatma Gandhi
This year, let us make a collective resolution to work towards achieving #SDG1.
#EndPoverty
π·: Visionary civil rights leader Dr. Martin Luther King and his wife, Coretta Scott King visited UNHQ in New York in 1964.
All of us can be human rights champions & #FightRacism on Monday's Martin Luther King Day and every day.
https://t.co/cCd3JjLrsV
#MLKDay
Kwa nafasi yangu ya Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Vatican mwenye Makazi Berlin, Ujerumani nimewasilisha salamu za pongezi na kheri kutoka kwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Baba Mtakatifu Leo wa XIV.@HassaniMwamweta
@millardayo@NMBTanzania Pongezi kwa @NMBTanzania kwa tuzo hizo , diplomasia ya uchumi Tanzania inaendelea kukua..ushirikishwaji wa sekta binafsi kwenye kuunda na utekelezaji wa sera za uchumi ni muhimu kwa mslai mapama ya uchumi wetu.
#Multilateralism makes it possible to coordinate international action and address challenges that go beyond national borders.
Discover the work accomplished behind the scenes to facilitate multilateral cooperation since the time of the League of Nations: https://t.co/nks5y2K03V
@GinySam @millardayo Upo sahihi lakin kwenye mikataba ijaonyesha kwamba wao wanaweza ingilia masuala yetu ya ndani..maan azimio lao ni kama agizo kwa nchi yetu tufuate matakwa yao kitu ambacho sio sahihi na Sheria za kimataifa zinakataa hilo..utu wetu, heshima ya nchi yetu ni Bora kulio pesa zao!
Habemus Papam!
Pongezi za dhati kwa Kardinali Robert Francis Prevost, Papa Leo XIV kwa kuchaguliwa kuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani.
Kwa niaba ya Serikali na Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ninakutakia kila la kheri katika utumishi wako kwa Kanisa na Dunia kwa ujumla.
Mwenyezi Mungu akusimamie na kukuongoza.
RAIS wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Daniel Francisco Chapo anatarajia kuanza Ziara ya Kiserikali ya siku tatu nchini Tanzania kuanzia leo tarehe 07 Mei, 2025, kufuatia mwaliko wa Rais wa Tanzania
@millardayo linakiuka Sheria n akanunu za kimataifa ambapo airuhusiwi nchi yoyote au taasis ya kimataifa kuingilia maslai ya ndani ya nchi huru au maamuz yake hihi imeainishwa kwenye mikataba ya kimataifa mfano mkataba wa UN , na ule wa Westphalia : chimbuko la mahusiano ya kimataifa
"Africa is the only continent that doesn't have to import anything." ~ Steve Harvey
"Africa was supposed to be a great independent continent thriving on their own if the West would let them be. Africa doesn't need your Oil, they don't need your Gas, they don't need your Gold, they don't need your Food, they don't need your Rice, they don't need your Cattle, they don't need nothing from the West because they have everything. It is the only continent in the whole world that doesn't have to import anything. But sΓ£dly they're being expl0itΓͺd." ~ Steve Harvey