#TANZANIA: NAJISIKIA UFAHARI KUJIITA MWANAHARAKATI, UANAHARAKATI HAUTAKIWI KUSHETANISHWA, WANAZUNGUMZA MAISHA YA WATU NDIO MAANA WANASIKILIZWA NA WATU - JEBRA
Mwanaharakati na Wakili nguli, Jebra Kambole leo Julai 09, 2026 amesema anajisikia fahari kuitwa Mwanaharakati ameshangazwa na kitendo cha kushetanisha uanaharakati, "kila mmoja ni mwanaharakati"
Aidha, Jebra amesema Wanaharakati wanaonekana kuongoza agenda ni kwa sababu wanazungumza mambo yanayowagusa watu, "ukizuiwa vyama vya siasa visifanye siasa, waache wanaharakati wazungumze, acha wasikilizwe, na tofauti na zamani ulikuwa unahitaji vitu vingi sana ili ufanye siasa au ufanye harakati, kwa sasa unahitaji simu yako tu, na ukizungumzia hoja za watu, watu watakupenda, watu watakufuata, na kesho ukiacha kuzungumza hoja za watu, watu watakuacha"
Zaidi: https://t.co/1WOZ4QSppc
mwenyekiti wa chadema, Tundu Lissu afikishwa mahakama kuu masjala ndogo dar es salaam kwa ajili ya kusikiliza maombi ya kuunganishwa kwenye kesi ya mgawanyo wa mali. usikilizwaji wa kesi unatarajiwa kuanza asubuhi hii.
REPOST 200
@MsigwaGerson Broo tutakufa repent Kwa maana ukweli kila mtu anaujua uongo siku izi ndio umekuwa ndio njia bora ya kuweka utulivu kwenye nchi zisizofata utawala bora what shall profit a man if he gain the whole world and lost his soul ,magufuli yuko wap leo izi damu zitawalilia tuu karma
MADELU SYSTEM MALFUCTION
Hivi huyu mlughalugha ni hana akili au anajitoa akili kwa makusudi ?! 🤔
Yaani
1Wao ndio Waibe Kura
2Wao ndio Waue Wananchi wasio na hatia kwa Risasi za Moto
3Wao ndio Wavunje Katiba ya Nchi
4Wao ndio wajiweke Madarakani kinyume na Katiba
5Wao ndio waibe Mali za Umma
6Wao ndio Wateke na Kupoteza Watu
7Wao ndio warithishe Watoto wao Madaraka na Fursa za Kimaendeleo
8Wao ndio wageuze Usalama Wa Taifa, Polisi na Jeshi kuwa their Mercenaries & Guns for Hire
9Wao ndio wafanye Ubadhilifu wa Kodi zetu na Fedha za Miradi
10Wao ndio wawape Viongozi wa Siasa Kesi za Uhaini, na kuwaweka Rumande Wapinzani na Wanaharakati
YOTE HAYO NA MENGINE MENGI, Still he has The Audicity to come and say, Kuna Kundi lingine ambalo linahatarisha na kuvunja Amani ya Nchi? Kweli?! PREACE BREAKERS pekee wa Nchi yetu ni CCM’s Murderous Kabal, that has attained supremacy & entitlement and now it has stopped serving the people but themselves; na ndio maana wapo tayari kuua Wananchi kwa Maelfu ili tu Wabaki Madarakani.
Hivi kweli Mtu mwenye Akili Timamu, mwenye aibu, haya na soni, anaweza kuwaambia Wananchi eti kuna watu wanataka kutuvunjia amani wakati Wananchi mpaka leo miili ya ndugu zao haijapatikana? Wananchi ambao mliwazimia Internet, mmeshindwa kuwapa Ajira na bado mka-restrict social media zao (na ndio wakijiajiri huko), ambao wameshuhudia watu wanatekwa Mchana kweupe na kupotea Mazima, Deusdetus Soka, Mdude Chadema, Humprey Polepole?
Okay tufanye mpo sawa! So nani anavunja Amani… Mange Kimambi? Amekulia Dar, akaishi Dubai na sasa yupo Beverly Hills, California? Okay nani, Maria Sarungi? Mtoto wa Profesa Philemon Sarungi? Au Wakazi, as is Webiro Wakazi Wassira? John Heche? Tundu Lissu? Mliyetaka kumuua kwa risasi Dodoma na sasa yupo jela? Au Roma Mkatoliki mliyemteka na kumuharibia career yake? au CAG wa zamani na Wasasa ambao wanaainisha madudu yenu?
Nyie ni SERIKALI HARAMU, na wewe Mwigulu ni mtu wa hovyo kabisa kuwahi kutokea, na historia itakusahau haraka zaidi ya kuliko kitu chochote!!
NYIE NDIO MNATUVUNJIA AMANI, NA MTALIPA!
The Leader
Tonight, I had the pleasure of having dinner with the legendary @LarryMadowo, my Kenyan brother.
We covered a wide range of topics, from Tanzania’s October 29th massacre and where the country stands today, to what lies ahead and Meta’s removal of my accounts. It was a deeply engaging and productive evening.
It was a true honor to meet in person a journalist who works without fear, using his voice to speak for those who cannot.
@Aruatani Death is not ceasing to exist kifo ni ku change Kwa dimension kutoka ulimwengu wa kimwili to realms of spirit ndio mana bible inakuambia hakuna mtu anayeweza kuua roho Bali wapo wanaoua mwili si Yesu alikufa mwili but roho yake haikufa ndio mana alifufuka kwa uwezo wake mwenyewe
@EduTalkTz God is infinite your brain is to tiny to understand how he operate ndio mana Mungu alisema akili zake hazichunguziki yeye ni omniscient sisi binadamu ni finite hatuwezi kum question God ndio mana imani Kwa asiye amini ni kama wendawazimu Ww ni atheist
@JohnDoe53450049@BillyTronix1 Tatizo unamjua yule aliyeuvaa mwili lakini kumbe ile ni incarnations he was existed before he manifested ndio mana yeye anakuambia yeye ni mwanzo na mwisho
@JohnDoe53450049@BillyTronix1 Kwa iyo mtoto wa simba siyo simba lol 😂 Yesu ni Mungu sababu ya nature ,essence and holiness uungu siyo jina ni sifa,yesu aliumba ndio mana yohana anasema vyote vilifanyika kupitia yeye