Mara nyingi script za video huwa zinachorwa na ma director na msanii huongezea mawazo kiasi ama kuikubali script moja kwa moja kisha kuanza kuifanyia kazi.
Kwenye swala la kufungia wasanii nafikiri basata pia waanze kudeal na hawa directors wanao hushika na hizi nyimbo maana wao
Pia ni brand maana tayari washatengeneza majina makubwa mjini, ukiona mpaka msanii kaenda kufanya kazi na director fulani maana yake anamuamin kwenye uandishi wa script nzuri ambayo itabeba nyimbo yake.
Sasa kama director kahusika kwenye namna moja au nyingne kwanini basata
Yule aliyetakiwa kuwa pambo la dunia, ameamua kuwa starehe ya kila mwanaume.
Yule mwenye mamlaka ya kutuweka tumboni miezi tisa, siku hizi anatumezea P2.
Yule tuliyeambiwa tuishi naye kwa akili, ndo huyu asiyetupangia cha kumfanya.
Yule aliyekuwa na thamani hapo kale, siku hizi hana tofauti na kapu la sadaka, kila mtu anatia mkono.
Mlezi bora wa watoto, anakaribia kuwekwa mbali na kila kinachozaliwa.
Kutuonesha sehemu zake za siri, sio jambo linalohitaji faragha tena.
Siku hizi anajiita shangazi, kisawe cha shuga mami.
Thamani ya jinsia yake haipo tena, kama bikra kwenye wodi ya wazazi.
Kudanga, ndo biashara anayoitegemea, inayomtaka atunze mwili wake tu ili asifirisike.
Tusi linalotaja kiungo chake cha uzazi, haoni tabu kumtupia mwanaye.
Namzungumzia mwanamke wa sasa, anayefanya clockwise moment isiwe sawa na anticlokwise moment.
Kachagua mwenyewe kuwa kitufe cha maovu, asiwalaumu wanaokibonyeza.
"NASINZIA" ya "Nameless" ni moja kati ya ngoma nilizozisikiliza sana aisee,video yake pia nimeitazama sana "Channel10" enzi hiyo...
Ni kati ya video zilizofanya niamini kuwa "MAPENZI BILA PESA KUTOBOA NI NGUMU"π
Simliona mshikaji alivotoswa mwishoni, ila kitu ambacho sijawahi kujua ni ile sauti ya mdada ni ya nani wakuu???π€
Mwenye kujua hilo tafadhariππΎ
"Nameless~Nasinzia"πΆπ₯
#ParachichiFM